Saturday, July 7, 2012

THERESIA NDIYE MISS TANGA 2012

Redd's Miss Tanga 2012,Theresia Kimaro (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao lililofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Jijini Tanga jana usiku.

No comments:

Post a Comment