Saturday, July 7, 2012

JOSE CHAMELEONE AFUNIKA U/TAIFA DAR

Jose Chameleone akiwaimbisha mashabiki wakati wa onyesho lake la jana lililofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Jose Chameleone akiimba huku akitembea wakati wa onyesho hilo

Jose Chameleone akiimba kwa hisia kali wakati wa onyesho hilo

No comments:

Post a Comment