Friday, June 22, 2012

IJUMAA KARIM!

Wapendwa wasomaji wangu wa blogu ya liwazozito, leo ni siku ya Ijumaa, ni siku muhimu kwetu sisi waislamu kufanya ibada kwa ajili ya kumtukuza na kumshukuru Mungu wetu. Nawatakia Ijumaa njema na mapumziko mema ya wikiendi.

No comments:

Post a Comment