Friday, May 11, 2012
KARIBU MUME WANGU!
KAIMU Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini, Betty Mkwasa (kulia) akimkaribisha Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Charles Boniface Mkwasa kwenye hoteli ya Dodoma mjini Dodoma juzi. Mkwasa ni mume wa Betty. (Na mpiga picha wetu).
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment