Monday, May 28, 2012

DIAMOND AFANYA MAVITUZ BIG BROTHER AFRICA



Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul 'Diamond' mwishoni mwa wiki iliyopita alionyesha machejo ya aina yake wakati alipopewa nafasi ya kutumbuiza katika hafla ya kutoka kwa washiriki wawili wa shindano la Big Brother Africa.



No comments:

Post a Comment