Thursday, March 8, 2012
MAKABIDHIANO YA VIFAA VYA MICHEZO NSSF
MENEJA Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma za Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa mwakilishi wa timu ya soka ya Uhuru, Gule Mandago (kushoto) katika halfa iliyofanyika jana kwenye hoteli ya JB Belmont, Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Kombe la NSSF, Rashid Zahor na wa tatu kushoto ni mratibu wa mashindano hayo kutoka NSSF, Juma Kintu. (Picha na Emmanuel Ndege).
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment