Wednesday, November 9, 2011

TWANGA PEPETA KIBARUANI



WANAMUZIKI wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta International, wakilishambulia jukwaa wakati wa uzinduzi wa albamu yake mpya ya Dunia Daraja uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment