Tuesday, November 1, 2011

Dunia Daraja ya Twanga kuzinduliwa Jumapili





Hawa ndiyo watunzi wa nyimbo zilizomo katika albam ya Dunia Daraja ya bendi ya African Stars inayotarajiwa kuzinduliwa Novemba 6 mwaka huu kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment