Saturday, October 8, 2011

Akina mama Kiabakari hawajalala

Akina mama wa Kiabakari wakiuza bidhaa kwa abiria waliokuwa wakisafiri kwa basi kutoka Mwanza kwenda Musoma. Biashara kubwa hapa ni ndizi, nyanya, vitunguu na zinginezo.

No comments:

Post a Comment