Thursday, June 23, 2011

WASHIRIKI WA MISS MORO 2011



WASHIRIKI wa shindano la kuwania taji la Miss Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari kwenye hoteli ya Masuka iliyopo mjini Morogoro. Shindano hilo limepangwa kufanyika Julai Mosi mwaka huu kwenye ukumbi wa hoteli ya Morogoro. (Picha na Latifah Ganzel).

No comments:

Post a Comment