Wednesday, June 15, 2011

MNAONAJE MKIJIUNGA NA SIMBA




Kocha Mkuu wa Simba, Moses Basena akizungumza na kiungo, Nkanu Mbiyakanga (juu) na beki Feugang Takudjo (chini) wa Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo mara baada ya pambano kati ya timu hizo lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda bao 1-0. (Picha na Emmanuel Ndege).



No comments:

Post a Comment