Friday, September 17, 2010

USHINDI MTAMU!

Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya AFC katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.

No comments:

Post a Comment