Sunday, July 11, 2010


Redds Miss Temeke Geneviva Emmanuel (kati) akifurahia baada kushinda taji hilo usiku wa kuamkia leo TCC Club Chang'ombe jijini Dar. Shoto ni mshindi wa pili Anna Daud na kulia ni mshindi wa tatu Britania Urasa. Wote watashiriki katika fainali za Miss TZ mwaka huu

No comments:

Post a Comment