Thursday, July 1, 2010

Huyu ndiye kocha mpya wa Zanzibar Heroes

KOCHA mpya wa timu ya soka ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Stewart John Hall akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutia saini mkataba wa kuifundisha timu hiyo jana mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment