Monday, April 19, 2010

NDEGE YA ATC YAPATA AJALI



Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATC) aina ya Boing 737 ikiwa katika uwanja wa ndege wa
Mwanza baada ya kupata ajali ilipokuwa ikitua uwanjani hapo juzi kutoka Dar es Salaam, ikiwa na abiria 46.

No comments:

Post a Comment