Monday, April 19, 2010
Mwanamuziki Fresh Jumbe wa Tanzania, ambaye anayeishi na kupiga muziki nchini Japan, akisoma gazeti la Uhuru mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dar es Salaam wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment