Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (wapilikushoto) akichukua chakula pamoja na baadhi ya wateja wao wamakampuni katika hafla ya futari waliyowaandalia katika Hoteli yaSerena, Dar es Salaam jana.
Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia)akimwekea chakula mmoja wa wa teja wao katika hafla ya futariiliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao wa makampuni katikaHoteli yaSerena, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wateja wa Airtel wakipakua mlo wa futari katika haflahiyo iliyoandaliwa na Airtel katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment