Thursday, September 30, 2010

MREMBO WA TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA

MREMBO wa Tanzania, Genevieve Emmanuel akiwa ameshika bendera ya taifa aliyokabidhiwa jana, ikiwa ni ishara ya kuliwakilisha taifa katika shindano la dunia linalotarajiwa kufanyika mwezi ujao nchini China.

1 comment: