Walimbwende wanaowania taji la Redd's Miss Higher Learning wakiwa kwenye kambi yao ambapo fainali yao itakayofanyika leo kwenye ukumbi wa New Maisha Club Jijini Dar Es Salaam na mshindi anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi milioni mbili za kitanzania (Picha kwa hisani ya Intellectuals Communications Ltd)
No comments:
Post a Comment